AJTC NEWS

Tuesday, February 4, 2014

HICHI NDICHO ALICHOKISEMA RAISI WA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI ARUSHA BAADA YA KUJIUZULU



Raisi wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji arusha(AJTC) akitangaza kujiuzulu nafasi ya uraisi

Raisi wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji bwana George Silange aliyechaguliwa kwa ushindi mkubwa na wanafunzi wa chuo hicho katika uchaguzi uliofanyika baada aliyekuwa........
raisi wawakati huo bwana Daved George kusimamishwa pamoja na uongozi wake wotee!

Na alipewa dhamana ya kuendeleza kijiti hicho ni George Silange ila naye ameamua kujiuzulu na kuiachia kijiti hicho.Ila baada ya kujiuzulu tu aliandika ujumbe huu katika akaunt yake ya faceebook:

NAWAPENDA WOTE MLIONIPA USHIRIKIANO WA KUTOSHA NIKIWA MADARAKANI NATANGAZA RASMI KUANZIA SASA NIMEJIUZULU NAFASI YA URAIS NDANI YA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI ARUSHA 

PIA NAWAPONGEZA WALE MASNECH NA WANAFIKI MLIOKUWA NDANI YA UONGOZI WANGU 

NA MWISHO NIKUSHANGAE WEWE UNAEDAI WANACHUO WAWE NA NIDHAMU WAKATI WEWE HUONYESHI MFANO SIJAWAHI KUMTUKANA MKUFUNZ WALA MWANA CHUO MWENZANGU ALAFU WEWE UNANIITA KICHWA CHA NDIZI?? NA UNADAI UNANIDHAMU ETI HAUKOSEI KISA WW NI M2 FULANI HAHAHAHAHAHAAAA AHSANTENI JAMANI.

SOURCE: akunti ya George Silange from moshonomedia.blogspot.com

No comments:

Post a Comment