MIHADHARA ya dini iliyokuwa imepigwa marufuku na Serikali imeruhusiwa kuendelea kwa masharti ya kutojihusisha na mahubiri yanayolenga kupandikiza chuki miongoni mwa Wakristo na Waislamu. Serikali pia imewataka viongozi wote wa dini kuwakataa na kuwapiga marufuku watu wanaojiingiza katika nyumba za ibada huku wakiwa na malengo ya siasa.
Akizungumza katika kongamano la Umoja wa Wahadhiri wa dini za Kikristo na Kiislamu Dar es Salaam juzi, Mkuu wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, Paul Chagonja alisema Serikali haiwezi kuingilia shughuli za dini kama zinaendeshwa kwa ustaarabu bila kuvunja sheria.
Chagonja ambaye alimwakilisha Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Dk. Emanuel Nchimbi alisema..........