Bondia Mohamed
Chibumbuli kushoto akionyeshana umwamba wa kutupiana makonde na Abdul
Rashid wakati wa mchezo wao katika mashindano ya klabu bingwa mkoa wa
Dar es salaam Chibumbuli alishinda kwa pointi katika mchezo huo juzi
picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
……………………………………………………………………
Na Mwandishi Wetu
TIMU ya MMJKT jana imeibuka mabigwa wa mashindano ya mkoa wa Dar es salaam baada ya kuvipiku vilabu nane vilivyoweza kujitokeza kushiliki mashindano hayo na kutawazwa kuwa bingwa wa mkoa, baadhi ya mabondia waliocheza fainali za mashindano hayo ni Hamisi Mrisho wa ‘MMJKT’ alisambalatishwa kwa pointi na bondia Oscar Richard wa ‘Urafiki’ na Omari Mohamed wa urafiki akichezea kichapo kutoka kwa mwenzie John Mwambinga, na bondia anayekuja kwa kasi ya hali ya juu akitokea timu ya Ashanti ya ilala kwa sasa akichezea timu ya ‘MMJKT’ alifanikiwa kumpiga John Christian wa ‘Mgulani’ Saleh Abdallah wa mgulani alishindwa kutamba mbele ya Undule Langson wa Magereza

Nae Jacobo Agusteno wa ‘Mgulani’
alishindwa kufurukuta mbele ya Bosco Bakari wa ‘MMJKT’ katika mpambano
mwingine uliowakutaniasha Festo Ngabo wa Magereza alishindwa kutamba
mbele ya Victor Njaiti wa ‘MMJKT’ nae bondia Mohamedi Chibumbuli wa
magereza alimsambaratisha vibaya bondia Said Saleh wa ‘mavituzi’
Akizungumzia maandalizi ya mabondia wa mkoa wa Mwenyekiti wa chama cha ngumi mkoa wa Dar es salaam ‘DABA’ Akaroli Godfrey amesema kwa sasa mabondia wa timu ya mkoa wa Dar es salaam wapo kambini wakijiandaa na mashindano ya majiji yatakayoanza Kampala Uganda Aprili 2 mwaka huu

Timu hiyo ambayo ipo na makocha
wazoefu inaongozwa na David Yombayomba ,Ferdnand Nyagawa mazoezi
yanayofanyika kila siku Mgulani JKT, wakisaidiwa na Mazimbo Ally na
Kameda Antony
Timu hiyo ina mahitaji mbalimbalio
ikiwemo kambi pamoja na gharama za kupeleka timu Uganda kiasi cha
shilingi milioni 16 kwa ajili ya kwenda kwenye mashindano
hayo ambapo mpaka sasa wamejaribu kuomba misaada sehemu mbalimbali yakiwemo makampuni na watu binafsi hata hivyo hakuna mafanikio yoyote hivyo tunawaomba wadau wa mkoa wa Dar es salaam kujitokeza kusaidia timu hiyo ambayo inakabiliwa na mashindano ya majiji

No comments:
Post a Comment