AJTC NEWS

Monday, August 26, 2013

HERI YA NUSU SHARI KULIKO SHARI KAMILI.

Mavazi yanayodhamiriwa kuwa ni sehemu yakudhihirisha stara ya mwanadamu yageuka kuwa kipande cha karatasi ndani ya daftari .

Hayo yamebainishwa
na ajtc hot blog pale ambapo baadhi ya wanawake kuvaa mavazi yasiyo stahiri na badala yake kuficha sehemu ndogo ya mwili na huku eneo kubwa kubaki wazi.





Baadhi ya wanawake wakiwa katika mavazi yaliyo sitiri sehemu ndogo ya mwili na huku eneo kubwa la mwili likiwa wazi.

Naye Rose Mality  ambaye ni mmoja wa wanamitindo Tanzania amesema pamoja na fani ya mitindo kuzidi kukua lakini ni lazima tamaduni zetu nazo zipewe kipaumbele pia amekiri kuwa mtu yeyote anaweza kuvaa vazi linalo msitiri na kumpendeza pia.

Pamoja na hayo ajtc hot blog imeendelea kubaini kuwa wengi wao wanao vaa mavazi hayo
 ni vinara mbali mbali ndani ya nchi yetu.

No comments:

Post a Comment