AJTC NEWS

Sunday, August 25, 2013

WANAFUNZI WA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI AJTC WAASWA KUJITUMA KATIKA MASOMO


Baadhi ya wanafunzi ambao wamehitimu masomo yao ya ngazi ya
  stashahada katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji arusha (AJTC) wakipiga  picha ya pamoja katika tafrija liyofanyika jana jumamosi Tanzanite hotel maeneo ya Usariver  arusha

                                   

Akizungumza na blog ya  ajtc hot mmoja wa wanafunzi hao bwana Amani James ambaye ni muhitimu  wa ngazi ya stashahada ya uandishi wa habari na utangazaji ameyasema hayo katika...........
tafrija fupi iliyoandaliwa na darasa la katavi ambayo ilifanyika katika hotel ya tanzanite iliyopo USA RIVER kwa lengo la kuagana na wanafunzi wenzao

Tafrija hiyo ilifanyika  agust 24  na kuudhuriwa na wanafunzi wa madarasa mbalimbali ikiwemo darasa la tanganyika,natroni,kilimanjaro na mengineyo ambapo walikula na kucheza pamoja ikiwa ni sehumu ya burudani

Pamoja na hayo darasa hilo la katavi limekuwa ni darasa ambalo likifanya vizuri kitaaluma na katika shughuli za kivitendo na pia wamekuwa mstari wa mbele katika kujitolea katika shughuli mbalimbali chuoni hapo

No comments:

Post a Comment