AJTC NEWS

Sunday, August 25, 2013

TATIZO LA UKOSEFU WA AJIRA KWA VIJANA LITAISHA LINI?






Ikiwa tunazo rasimali nyingi lakini tatizo la ajira bado halijapatiwa ufumbuzi na kuwafanya vijana wengi nchini kuishi bila hajira yoyote ile

Blog ya Ajtc Hot ilibainisha tatizo hili kwa kuona baadhi ya wengi wakiishi bila ya ajira na hatimaye kujiingiza katika...........
makundi mabaya na kutenda maovu ikiwepo ubakaji na utumiaji wa madawa ya kulevya.

Hata hivyo blog ya Ajtc Hot imebaini kuwa chanzo kikubwa cha ukosefu wa ajira kwa vijana ni kutojishughulisha kwao kwa kutafuta namna ya kujiajiri wao wenyewe na baadala yake wanategemea kuajiriwa.
Hata hivyo serikali bado inachangamoto ya kutoa elimu ya ujasiriamali kwa vijana ili kuongeza fursa ya ajira kwa vijana nchini.

No comments:

Post a Comment