AJTC NEWS

Sunday, August 25, 2013

“KIPAJI CHA LIPA KULIKO TAALUMA” GODWILL LINUS


Muimbaji wa nyimbo za injili Godwill Linus akiwa na mastedi shoo wake akiimba wimbo wake wa sitochoka kungoja katika uzinduzi wa albamu yake iliyofanyika ijumaa katika ukumbi wa (AJTC)

Akizungumza na blog ya  ajtc hot  amesema kila mwanafunzi anatakiwa kuzingatia kipaji
alichonacho kwani ni njia mojawapo ya................
kujiingizia kipato nje na taaluma walizonazo.

Albam hiyo iliyobeba nyimbo nane za muziki wa injili ikiwemo sitochoka kungoja ikiwa ndiyo nyimbo iliyobeba jina la albam ambayo ni albamu yake ya kwanza kuizindua
Mgeni rasmi katika uzinduzi huo alikuwa ni bwana Andrea  Ngobole ambaye ni mkufunzi wa chuo hicho,akiambatana na wakufunzi wengine pamoja na wageni waalikwa mbali na wanafunzi wa chuo hicho
Mtoto Miriam akiwa anaimba na kucheza wimbo wa injili katika uzinduzi wa albamu ya sitochoka kungoja
 

  Bwana Handrea Ngobole ambaye alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi huo akiwa anazindua rasmi albamu ya sitochoka kungoja kwa kufungua box zenye sidii  ya albamu hiyo kama anavyoonekana katika picha hapo juu. 

Bwana Handrea  Ngobole akiwa ameshikilia sidii ya albamu ya sitoachoka kungoja kwa kutangaza kuwa anainunua sidii hiyo kwa shilingi elfu hamsini (500000)

PICHA ZOTE ZIMEPIGWA NA Ajtc Hot.blogspot.com
      

No comments:

Post a Comment